Naibu Waziri wa Fedha na Mipango (JMT).Hamad Hassan Chande amewataka wazanzibar kulipa Kodi kwani ndio maendeleo yatapatikana kama Husuma za Afya ,Elimu na Miundombinu. Amesema kongamano la kikodi litaleta tija Kwa kupanga bajeti yenye Usawa.
Habari na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment