NGUVU KAMANDO Mkurugenzi wa Digital na huduma za ziada amesema VADACOM wakishirikiana na COSTECH wametoa mafunzi week kumi na mbili (12) sawa na miezi mitatu (3) lengo kufika kimataifa wabunifu wa kitanzania ambapo vipaumbele vyao ni elimu, afya, usafiri kilimo na kadharika. Kampuni tatu zitaendalea kupewa mafunzo zaidi lengo kuibua vipaji ili kuboresha uchumi na kuongeza chachu wamejikita kiasi milioni 200. Kilimo, elimu ususani mambo ya sayansi wenzao wamejikita kwenye mazingira. vijana wameiva na wamepikwa vizuri hivyo basi vijana waendelee kuchangamkia frusa nyengine pins zinapokuja. ametoa wito makampuni mengine waige ili fursa zipatikane kwa wingi.
Nae LUCAS kutoka smart Darasa amesema mafunzo mbalimbali yamewasaidia kukuwa kwa Taasisi zao na pia imewasaidia kuongeza timu kutoka watu sita (6) hadi kumi na mbili (12), pia amesema kushiriki kwenye program hizi inasaidia kukua kwa taasisi zao na kuimalika zaidi.
Nae LARRY AYO kutoka Stamartlab Program meneja amesema program ilikuwa ya meezi mitatu kampuni tatu wamejitaidi Twenzao, Kilimo Bando watawezeshwa zaidi kuboresha makampuni yao.
Habari picha na
VICTORIA STANSLAUS
No comments:
Post a Comment