meneja wa TARURA mkoa wa Dodoma Mwandisi Kirembe amesema ndnai ya miaka miwiliy ya Dr. Samia Suluhu Hasan Barabara za mkoa wa Dodoma ambazo ziko chini ya TARURA ziweza kujengwa kwa kiwango cha RAMI na changarawe pia ongezeko la fedha limekuwa kubwa, mfano TOZO za barabara, mfuko wa tozo za barabra na fedha za bajeti
MENEJA wa TARURA ametoa wito kwa watanzania kuendelea kumuunga mkono mweshimiwa Raisi nakummpa ushirikiano
habari kamili na Ally Thabith
No comments:
Post a Comment