Mkurugenzi Mkuu wa Uhamiaji nchi ya Drc Kongo Roland Kashwakale amesema watahakikisha kudhibiti kwenye mipaka yao dhidi ya wahamiaji wanaotaka kuingia tanzania . Pia watakuwa wanafanya doria mara kwa mara na pindi watakapo wakamata watu wasifuata taratibu za kuingia tanzania kupitia Drc Kongo sheria kali watachukuliwa amemuhakikishia Kamishina Mkuu wa Tanzania Dr Ana Makakala kuwa nchi ya Drc Kongo itatoa ushirikiano wao na kuimarisha ulinzi na usalama kwe nye mipaka ya nchi ya Drc Kongo na nchi ya Tanzania kama wanavyoonekana kwenye picha ya pamoja viongozi hawa.
Habari picha na Ally Thabit Mbungo
No comments:
Post a Comment