Friday, 13 June 2025

MWANA HARAKATI WA TGNP ALIA NA BAJETI

 Mwanaharakati Mkongwe wa TGNP BI Subira  ameitaka serikali ya tanzania  kabla ya kupanga bajeti ni vyema kuwashirikisha wananchi wote kuanzia ngazi ya kaya ,kitongoji au Mtaa ,Kijiji,Kata,Tarafa,Wilaya,Mkoa na ngazi ya Kitaifa lengo kuwa na bajeti shirikishi .

Hamesema haya Makao Makuu  TGNP  eneo la mabibo jijini dar es salaam. 

Habari na Ally Thabit 

No comments:

Post a Comment