Thursday, 11 May 2017

KITUO CHA UWEKEZAJI CHAWAAKIKISHIA AJIRA WATANZANIA

Haya yamesemwa na mkurugenzi mtendaji wa kituo cha uwekezaji tanzania kwenye mkutano wa kutiliana saini na wawekezaji kutoka afrika kusini  pia amewatoa ofu wawekezaji kuusu kupatikana kwa ardhi mikataba walio wekeana itasaidia kukua kwa uchumi tanzania na kuongezeka ukusanyaji wa kodi maeneo ya nishati, tehama,miundombinu,ujenzi wa kiwanda cha mborea mkoani tanga ,eneo la elimu pamoja na afya ni baadhi ya miradi walio wekeana mkurugenzi mtendaji TANDARIkutoka kituo cha uwekezaji tanzania amewapongeza wana habari kwa ushirikiano . mkutano huu umefanyika jijini dar es salaam kwenye ukumbi wa mikutano ya kimataifa wa mwalimu nyerere  .wafanya biashara mia nne watanzania wameuzuria na ajira elfu themanini na tano zitapatikana kwa watanzania 

Monday, 8 May 2017

CHAMA CHA A.C.T.WAZARENDO KIMEMPONGEZA RAIS JOHN JOSEFU POMBE MAGUFULI KWA ATUA ALIO ICHUKUA KWENYE VYETI FEKI

Haya amezungumza katibu mwenezi KADO SHAIBU pia chama kimemtaka rais haakiki vyeti vya wabunge,madiwani,wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa kwani nao wana vyeti feki kwakuto akiki vyeti vyao ni kusigina katiba ya tanzania

habari picha na ALLY THABITI

NA HII NDIO RIPOTI ILIO ZINDULIWA NA HLRC KWENYE UKUMBI WA MAKUMUSHO YATAIFA JIJINI DAR ES SALAAM


NA HAPA WAKIZINDUA RIPOTI YA HLRC

Kupitia ripoti hii watanzania watajifunza mengi na inaonesha mikoa ya nyanda magharibi inaongoza kwa ukatiri wa kijinsia

habari picha na ALLY THABITI

MGENI RASMI AMBAYE NI JAJI WA TANZANIA AMESEMA ATASHIRIKIANA NA SERIKALI KUONDOA SHERIA KANDAMIZI

 
Haya amezungumza kwenye uzinduzi wa ripoti ya HLRC miongoni mwa sheria ambazo zitafanyiwa malekebisho ni  sheria ya ndoa za utotoni.sheria ya mtandao na sheria za huduma za habari. ametoa wito kwa taasisi zishirikiane kutokomeza ukatiri wa kijinsia pamoja na haki za binadam hamesema haya kwenye uzinduzi wa ripoti ya HLRC jijini dares salaam kwenye ukumbi wa makumbusho ya taifa

habari picha na ALLY THABITI

MWENYEKITI WA BARAZA LA WADHAMINI LAKITUO CHA MSAADA WA KISHERIA H.L.R.C AMEITAKA SERIKALI IKOMESHE UKATIRI WA KIJINSIA

 
Amesema haya kwenye uzinduzi wa ripoti ya shirika la HLRCambako inaonekana mimba za utotoni,ubakaji,na urawiti nivitendo ambavyo vimekithiri kwa kiasi kikubwa nchini tanzania haya yamebainishwa na ripoti ya HLRC kupitia ripoti hii ameiomba serikali kuyatokomeza haya maswala mkutano huu umefanyika jijini dar es salaam  kwenye ukumbi wa makumbusho ya taifa posta

habari picha na ALLY THABITI

PATRICK KUSIGA WA TICTS AWAPONGEZA CLOUDS KWA KUAANDAA BONANZA LA WAFANYA KAZI

Mashindano haya yameweza kuwakutanisha wafanya kazi wa makampuni mbalimbali hivyo wamejenga uhusiano mkubwa na makampuni hayo

habari picha VICTORIA STANSLAUS