Thursday, 11 May 2017

KITUO CHA UWEKEZAJI CHAWAAKIKISHIA AJIRA WATANZANIA

Haya yamesemwa na mkurugenzi mtendaji wa kituo cha uwekezaji tanzania kwenye mkutano wa kutiliana saini na wawekezaji kutoka afrika kusini  pia amewatoa ofu wawekezaji kuusu kupatikana kwa ardhi mikataba walio wekeana itasaidia kukua kwa uchumi tanzania na kuongezeka ukusanyaji wa kodi maeneo ya nishati, tehama,miundombinu,ujenzi wa kiwanda cha mborea mkoani tanga ,eneo la elimu pamoja na afya ni baadhi ya miradi walio wekeana mkurugenzi mtendaji TANDARIkutoka kituo cha uwekezaji tanzania amewapongeza wana habari kwa ushirikiano . mkutano huu umefanyika jijini dar es salaam kwenye ukumbi wa mikutano ya kimataifa wa mwalimu nyerere  .wafanya biashara mia nne watanzania wameuzuria na ajira elfu themanini na tano zitapatikana kwa watanzania 

No comments:

Post a Comment