hamezungumza haya kwenye jukwaa la wafanya biashara wa tanzania pamoja na waafrika kusini pia rais magufuli amewataka wafanya biashara wa tanzania washirikiane na wafanya biashara kutoka afrika kusini na amewapongeza waafrika kusini kuwekeza tanzania kwani kutasaidia kukuwa kwa uchumi, kuongezeka kwa ajira,kuimarika kwa miundombinu yetu na kuongezeka kwa mapato ya kodi .pia rais magufuli amekipongeza kituo cha uwekezaji tanzania kwa kuleta wawekezaji kwa wingi pia amempongeza rais wa afrika kusini JACOB ZUMA kwa ujio wake haya amezungumza kwenye jukwaa lawafanya biashara kwenye ukumbi wa mikutano ya kimataifa wa mwalimu nyerere posta jijini dar es salaam
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment