Thursday, 18 May 2017

TRL YAWATAKA WANANCHI WATII SHERIA BILA SHURUTI

shirika la reli la Tanzani TRLwametoa wito kwa watanzania wanaotumia usafiri huo kuwa makini na kujihami kwa kutokufanya vitendo hatarishi na kwa wale wote watakaokaidi agioz hilo watachukuliwa hatua kali za kisheria.

No comments:

Post a Comment