Rais wa mbio ameataka watanzania ashiliki kikamilifu kwenye mashindano ya riadha ambayo yanaandaliwa DASANI marathon ili waweze kuonyesha vipaji vyao, kukuza uchumi wao na kuimarisha afya zao haya amezungumza kwenye mashindano ya marathon yaliyofanyika porisi osasm esi jumla ya washiliki zaidi ya elfu moja waliweza kushiliki pia ametoa wito kwa serikali na wadau wengine wawaunge mkono habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment