HABDULI NJAIDI amewataka wafanya kazi wa moi wajiunge kwenye mfuko wa PSPF mfuko wa PSPF una fao la uzazi,mikopo ya nyumba,mikopo ya viwanja hivyo wafanyakazi wa moi watanufaika kwakiasi kikubwa hivyo wajiunge kwa manufaa zaidi
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment