TGNP MTANDAO imesema serikali iweke bajeti ya kutosha kwenye wizara ya maji kwani swala la maji ni tatizo kubwa nchini ambako linasababisha kutokea vitendo vya ukatili wa kijinsia ikiwemo kubakwa, kurawitiwa ,kukatishwa kwa masomo kwa watoto na mimba zautotoni hasa vijijini haya yamesemwa na mwana arakati wa TGNP MTANDAO akizungumza na wana arakati wenzake na wadau wa maji kwenye mkutano wa maji umefanyika kwenyemakao makuu ya TGNP MTANDAO mabibo jijini dar es salaam
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment