Kitengo cha tigo pesa kimetoa fedha kiasi cha bilioni 63.58 kwa wateja waon kama gawio la robo mwaka haya yamesemwa namkuu wa kitengo cha fedha tigo pesa CHRISTOPHAR KIMARO kuliani mkuu wa masoko na usambazaji CATHERINE RUTENGE wakati anaongea na wanahabari huiduma hii ya gawio imeanza tangu mwaka 2014 haya yamezungumzwa katika makao makuu ya tigo eneo la makumbusho wilaya ya kinondoni jijini dar es salaam
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment