Thursday, 18 May 2017

WAZIRI WA FEDHA AMESEMA UTAFITI UTASAIDIA KUELEKEA UCHUMI WA VIWANDA

Waziri wa fedha amesema utafiti utasaidia kuelekea tanzania ya viwanda waziri wa fedha FILIP MPANGO amesema haya kwenye ufunguzi wa maonyesho ya utafiti kwenye chuo kikuu cha DSM amewataka wataalam wazidi kufanya tafiti mbalimbali ili kusaidia kuelekea tanzania ya viwanda na kukua kwa uchumi wetu tanzania pia ametoa wito kwa wanafunzi wa chuo kikuu cha DSM wasiwe wavivu kwenye kufanya tafiti na waadhili wafanye tafiti zenye tija na maslai ya taifa




habari picha na  ALLY THABITI

No comments:

Post a Comment