UNFPA yawapa mafunzo wana habari ya kuwajengea uwezo jinsi ya kuandika na kutangaza dalili na chanzo cha fistula kwa kina mama uchungu kandamizi,kutokwa haja ndogo na kubwa sehemu za siri na jinsi ya kuepuka kupata fistula pichani wana habari kama wavyoonekana . katika hotel ya protea ndipo mafunzo yamefanyika jijini dar es salaam habari picha na VICTORIA STANSLAUS
No comments:
Post a Comment