MBUDIFO
Sunday, 21 May 2017
MKUU WA WILA YA ILALA AWATAKA WANAFUNZI WASOME KWA BIDII
MMmkuu wa wilaya ya ilala mama SOFIA MJEMA amewataka wanafunzi wasome kwa bidii hili kufikia tanzania ya viwanda na wawe wakakamavu kwenye mafunzo ya skaut ili wawe walinzi wa mali zetu na taifa letu hamesema haya kwenye wiki ya elimu eneo lamnazi mmoja wilaya ya ilala jijini dar es salaam habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment