Thursday, 18 May 2017

WARIRI WAMESEMA WATAISHINIKIZA SERIKALI KUUSU KATIBA MPYA


Mwariri wa gazeti laMWANA HARISI amesema kwa niaba ya waariri wenzake wataishinikiza serikali kuusu kuibua mchakato wa katiba mpya na watatoa elimu kwa jamii kwa kuandika makala mbalimbali kuusu mchakato wa katiba mpya pia amewapongeza kituo cha msaad wa kisheria HLRS kwakuwakutanisha pamoja na kuwapa mafunzo ya katiba mpya kwenye kongamano na kuzitaka taasisi zingine ziandae makongamano kama haya na ametoa rai kwa serikali kuwa katiba mpya ni haki ya watanzania hivyo serikali  hianzishe mchkato huu ulipo ishia




habari picha na ALLY THABITI

No comments:

Post a Comment