Sunday, 21 May 2017
KAMPUNI YA SIMU ZA MKONONI HALOTEL YAKANUSHA SAKATA LA KUHUJUMU UCHUMI
Mkurugeni mtendaji wa halotel LE VAN DAI amesema kuwa awajausika katika kuhujumu uchumi wa tanzania kama TCRA wanavyosema bali wao makosa yao ni mawili tu ambayo kutosajili laini kupitia TCRA na kuto kupeleka thamani ya hizo laini pia wamekanusha kwamba awajalipa shilingi milioni mia saba bali wanelipa shilingi milioni mia nne hamsini na tisa pia amesema hawana uhusiano na kampuni ya UNEX na mitambo hiyo sio ya halotel naameomba radhi kwa wateja wao na watazidi kushilikiana na serikali katika kukuza uchumi wa tanzania habari picha na ALLY THABITI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment