Baraza la wafanya kazi moi limejadili changamoto mbalimbali miongoninmwao ni huaba wa vifaa ,kutopandishwa madaraja mishahara duni, haya yamejadiliwa kwenye mkutano wao nakuiomba serikali iwaboreshee mishahara, sehemu ya maradhi, babajeti ili waweze kufanya kazi kwa ufanisi mkutano huu humefanyika kwenye ukumbi wa nyundo wilaya ya temeke jijini dare es salaam
habari picha na ALLY THABITI
No comments:
Post a Comment