mwakilishi mkazi wa shirika la idadi ya watu duniani \UNFPA\ amesema ugonjwa wa fistula unatibika nchini tanzania ikia wakina mama watajitokeza maosptalini kupata tiba pia amesema wameweka mikakati ya kuwapa mafunzo watoa huduma za afya mpaka sasa wametoa mafunzo kwa watoa huduma wa afya elfu nne dawa za uzazi wa mpango zenye thamani za dora za kimarekani shilingi milioni kumi na sita .pia wamewatibia wagonjwa wenye fistula hapa tanzania elfu kumi na tano amesema haya kwenye semina ya waandishi wa habari kabla ya kuelekea siks ya kilele ya ugonjwa wa fistula tarehe 23\5\2017 .ambako itaazimishwa duniani kote ametoa wito kwa wana habari kutumia taaluma yao kufikisha ujumbe kwa jamii kuwa fistula inatibika na matibabu yake ni bule pia waweze kuondokana na zana potofu kuwa ugonjwa wa fistula hausababishwi na kulogwa bali unatokana na kupata mimba utotoni na kumcheleweha mama mjamzito wakati wa kujifungua . pia ameishukuru serikali kwa kupambana na ugonjwa wa fistula tanzania habari picha na ALLY THAITI
No comments:
Post a Comment