Thursday, 11 May 2017

RAIS WA AFRIKA KUSINI JACOB ZUMA AMEWAAKIKISHIA WATANZANIA KUDUMISHA UMOJA NA MSHIKAMANO HULIOPO

JACOB ZUMA amewataka wafanya biashara wa tanzania wakawekeze afrika kusini kwani kuna maeneo mengi ya kuwekeza pia amempongeza rais JOHN POMBE MAGUFULI kwaa utendaji wake wa kazi ndio maana wamekuja kuwekeza tanzania kwenye maeneo kumi ikiwemo utalii, kilimo;mabadfiliko ya tabia ya nchi,na maneo mengine amesema watazidi kuja kuwekeza tanzania  umoja na mshikamano hulio asisiwa na mwalimu nyerere na mzee mandera watazidi kuhudumisha na kuimarisha hamesema haya kwenye jukwaa la wafanya biashara ambako wamefanya kwenye ukumbi wa mikutano ya kimataifa  wa mwalimu nyerere posta jijini dar es salaam 




habari picha VICTORIA STANSLAUS

No comments:

Post a Comment