Beni Sita Meha wa Kinondoni akiingia makubaliano ya Mradi wa MDP awamu ya tano na Wakorea kwaajili ya ujenzi wa barabara za Halmashauri ya Kinondoni ambako Beni Sita amesema barabara hizi zitasaidia katika kukuza Uchumi wa Kinondoni na watu Kuwait kwenye shughuri zao za Kila siku
Habari picha na Ally Thabit
Tuesday, 19 May 2020
MEHA WA KINONDONI AUNGA MKONO KWA VITENDO KAULI YA RAIS MAGUFULI
Beni Sita Meha wa Kinondoni pichani akikagua Viatu vinavyoelezea na Ngozi huku akiwataka Watanzania kuanzisha Viwanda vya bidhaa za Ngozi amesema Ofisi yake inafungua Milango Kwa anaeitaji kuwwkeza Halmashauri ya Kinondoni
Habari picha na Ally Thabit
Habari picha na Ally Thabit
CCBRT YAIPONGEZA SAWA (WSSCC) KWA KUNUSULU WATU WENYE ULEMAVU
Meneja wa Ushawishi na Utetezi wa watu wenye ulemavu kutoka CCBRT Fredrick Marthin Msigallah amesema wameipongeza Taasisi ya SAWA kwakunusulu na kuwaokoa watu wenye ulemavu ili wasipate virusi vya CORONA Kwa kuchapisha vipeperushi vya Maandishi ya Nukta Nundu vinavyoelezea dalili na namna ya kujikinga na virusi vya CORONA Kwa wasio hona na makundi mengine ya watu wenye ulemavu amesema haya wakati akipokea Nakala ya Maandishi ya Nukta Nundu kwaajili ya kuwapelekea watu wasio hona waishio Kigoma kwenye Kambi ya Wakimbizi CCBRT imetoa wito Kwa wadau mbalimbali kuunga mkono juhudi za taasisi ya SAWA huku akimpongeza Mwandisi Eng Malima na vipngozi wenzake kwakuguswa na kubeba maswala ya watu wenye ulemavu
Habari picha na Ally Thabit
Habari picha na Ally Thabit
Friday, 15 May 2020
TAKUKURU YATOA ONYO KALI KWA VYAMA VYA USHIRIKA
Mkurugenzi wa Taasisi ya kupambana na Rushwa Tanzania John Mbungo amesema vyama sita vya Ushirika wasipoludisha fedha hatuwa Kali zitachukuliwa Kwa Viongozi wao pia amewashukuru wananchi Kwa kutoa ushirikiano mpaka imepelekea kiasi cha bilioni 11.3 kupatikana ambazo zilifanyiwa ubadhirifu
Habari picha na Ally Thabit
Habari picha na Ally Thabit
TAASISI YA CHAKULA NA LISHE TANZANIA YAWAPA SEMINA WAHABARI
Taasisi ya Chakula na Rishe Sikitu Kihinga amesema wameamuwa kuwapa Mafunzo wanahabari Lengo kuwataka wawaelimishe wananchi matumizi ya Tangawizi,Vitunguu thaumu,habdalasini Malimao na matunda kutumia kwaajili ya kujikinga virusi vya CORONA Sikitu Kihinga amesema mamamjamzito na anayenyonyesha awawezi kumuambukiza mtoto virusi vya CORONA Taasisi ya Chakula na Rishe imetoa wito Kwa jamii kuwa viungo na matunda si dawa ya CORONA Ola vinasaidia kutoshambuliwa na virusi vya C
PICHANI MKUU WA MKOA WA DSM AKIJARIBU GARI ALIOKABIDHIWA NA KAMPUNI YA TATA
Mkuu wa Mkoa wa Dsmameishukuru Kampuni ya TATA Kwa kutoa gari ambayo itasaidia katika mapambano ya virusi vya CORONA Kwa kuwabeba Wataalam wa Arya huku akiwataka Watanzania na wasio watanzania kununua magari ya Kampuni ya TATA kwani no Imara na yanaubora mkubwa uku akiwataka ofu wanaDsm maambukizi ya virusi vya CORONA vimepungua waendelee kuchukua taadhari amesema Aya kwenye makao makuu ya TATA
Habari picha na Ally Thabit
KAMPUNI YA TATA YAMUUNGA MKONO MAKONDA KWAAJILI YA KUPAMBANA NA CORONA
Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya TATA amesema wameamuwa kutoa gari Aina ya TATA lenye thamani ya milioni 65 Lengo kuunga mkono juhudi la Rais Magufuli na mkuu wa Mkoa wa Dsm Poho Makonda katika kupambana na virusi vya CORONA ndio maana wametoa gari hii kwaajili ya kuwabeba Wataalam wa Afya
Habari picha na Ally Thabit
Habari picha na Ally Thabit
Subscribe to:
Posts (Atom)






