Tuesday, 19 May 2020

CCBRT YAIPONGEZA SAWA (WSSCC) KWA KUNUSULU WATU WENYE ULEMAVU

Meneja wa Ushawishi na Utetezi wa watu wenye ulemavu kutoka CCBRT Fredrick Marthin Msigallah  amesema wameipongeza Taasisi ya SAWA kwakunusulu na kuwaokoa watu wenye ulemavu ili wasipate virusi vya CORONA Kwa kuchapisha vipeperushi vya Maandishi ya Nukta Nundu vinavyoelezea dalili na namna ya kujikinga na virusi vya CORONA Kwa wasio hona na makundi mengine ya watu wenye ulemavu amesema haya wakati akipokea Nakala ya Maandishi ya Nukta Nundu kwaajili ya kuwapelekea watu wasio hona waishio Kigoma kwenye Kambi ya Wakimbizi CCBRT imetoa wito Kwa wadau mbalimbali kuunga mkono juhudi za taasisi ya SAWA huku akimpongeza Mwandisi Eng Malima na vipngozi wenzake kwakuguswa na kubeba maswala ya watu wenye ulemavu



Habari picha na Ally Thabit

No comments:

Post a Comment