Katibu Mkuu wa Chama cha walemavu wa Akili Frances Mashulo amempongeza juhudi za kupambana na CORONA dhidi ya watu wenye Ulemavu zinazofanywa na taasisi ya WSSCC ambako leo wamekabidhi baraka, ndio za kunawia mikono na vitakasa mikono kwenye shirikisho la watu wenye Ulemavu (SHIVYAWATA)
Habari picha na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment