Katibu Mkuu wa Chama cha Wasio Ona (TLB) Emanuel Samweli wanaishukulu taasisi ya WSSCC kwa kutoa vifaa vya kujikinga na CORONA kwa watu wenye Ulemavu you nashukuru kuchapishwa vipeperushi vilivyoandikwa kwa mwandishi ya Nukta Nundu ambako itasaidia wasio Ona kutambua dalili na namna ya kujilinda na kujikinga dhidi ya ugonjwa wa CORONA marimba taasisi ya WSSCC kuendelea kuwasaidia watu wenye Ulemavu
Habari picha na Victoria Stanslaus
No comments:
Post a Comment