Kiongo Mratibu wa Idala ya Maendeleo kwa Vijana na chipkizi TLB Taifa amesema wanasambaza vipeperushi vya Nukta Nundu vinavyozungumzia dalili na namna ya kujikinga na virus vya CORONA navitakasa mikono pamoja na barakoa Lengo watiwasio Ona wasiambukizwe virusi vya CORONA Kiongo ametoa shukurani kwa WSSCC THDRC OSHA FCS NA TAYOA kwakuweza kuwaunga mkono chama cha TLB Kwa ali na mali
Habari picha na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment