Mratibu wa WSSCC Mwandisi Eng Malima amesema katika vita ya CORONA watu wenye Ulemavu washirikishwe moja kwa moja katika kuandaa vifaa na vipeperushi mano kwawasio Ona vipeperushi vya Nukta Nundu waandike wenyewe na walemavu wengine watoe mapendekezo ya namna ya kutengeneza vifaa vya kujenga na CORONA amesema aya wakati akikabidhi vifaa mbalimbali vya kukabiliana na ugonjwa wa CORONA kwa watu wenye Ulemavu Tanzania Makao nauli ya SHIVYAWATA
Habari na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment