Mwenyekiti wa shirikisho la watu wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA) Humi KHAMISI amesema watu wenye Ulemavu kutokana na kuingia virus vya CORONA umeathiri watu wenye Ulemavu kiuchumi ambako imepelekea shughuri zao za kuuza chakula kuzorota kwa kiasi kikubwa nao watu wenye Ulemavu wanaoendesha bajaji kupinga kwa mapato yao na unashindwa kurejesha Mikopo Mwenyekiti Humi Namisi amempongeza Mratibu wa WSSCC kwa kutoa msaada wa cha kujikinga na CORONA kwa watu wenye Ulemavu
Habari picha na Victoria Stanslaus to
No comments:
Post a Comment