Mwenyekiti wa CHAWATA Hamadi Komboza amesema mapambano ya CORONA ayaitaji kubagua kundi lolote ivyo wameipongeza Taasisi ya WSSCC kwa kutoa vifaa vya kujikinga na ugonjwa wa CORONA ambako chama cha walemavu CHAWATA kitawakabidhi waendesha bajaji wa Kivukoni ambao wenye Ulemavu wa viungo
Habari picha na Ally Thabit
No comments:
Post a Comment