Monday, 3 August 2020

KATIBU WA ACT AWASHA MOTO

Twaa Rashidi Katibu wa ACT Wazalendo Mkoa wa Dsm amevitaka vyama vya siasa nchini Tanzania viungane hili waweze kukiondoa madarakani Chama cha Mapinduzi CCM pia amesema no Vema Kwa nafasi ya Urais vyama vingemsimamiaha Tundu Risu kwani ana nguvu kubwa uku akiwashukuru viongozi wa ACT Wazalendo Kwa kufanya mikutano Yao DSM amesema haya kwenye kamati kuu ya ACT Wazalendo ilipokutana Lamada hotel iliopo Ilala


Habari picha na Victoria Stanslaus

WAANDAAJI WA NYAMA YA NG'OMBE WAJIVUNIA UWEPO WA TAASISI YA ASHURA

Waandaaji wa nyama ya Ng'ombe kupitia taasisi ya ASHURA ya Mke wa Barozi wa Uturuki nao wananufaika kiuchumi Kwa kupata ajira ya uandaaji kama inavyoonekana pichani


Habari picha na Victoria Stanslaus

WAKAZI WA KINONDONI SHAMBA WATOA NENO ZITO KWA MKE WA BAROZI WA UTURUKI

Abasi Kingazi no mkaazi wa Kinodoni Shamba anamshukuru Mke wa Barozi wa Uturuki Kwa kuwajali na kuwathamini Kwa misaada mbalimbali anayotoa kupitia taasisi yake ya ASHURA amesema haya Kwa niaba ya wananchi wa Kinodoni Shamba wakati wa kukabidhiwa nyama ya Ng'ombe kwenye machinjio ya Tegeta jijini DSM


Habari picha na Ally Thabiti

PICHANI MAANDALIZI YA NYAMA YA NG'OMBE

Kama inavyoonekana zoezi la uchinjaji na uandaaji wa nyama ya Ng'ombe kwenye machinjio ya Tegeta jijini DSM


Habari picha na Victoria Stanslaus

TAASISI YA MKE WA BAROZI WA UTURUKI YATEKELEZA KWA VITENDO

Pichani Taasisi ya ASHURA inayoongonzwa na mke wa Barozi wa Uturuki inatekeleza na kusimamia zoezi la uchinjaji Ng'ombe na ugawaji wa nyama hii Kwa makundi mbalimbali siku ya EID AL ADHA machinjio ya Tegeta jijini DSM

Habari picha na Ally Thabiti

WATURUKI WAGUSWA MA MAISHA YA WATANZANIA

Mmoja ya Waturuki amesema wameamuwa kutoa msaada wa nyama ya Ng'ombe kupitia taasisi ya ASHURA inayoongonzwa na mke wa Barozi wa Uturuki ameahidi wataenda kutoa misaada zaidi amesema haya kwenye machinjio ya Tegeta jijini DSM


Habari picha na Victoria Stanslaus

TAASISI YA MAMA BAROZI WA UTURUKI ATOA MKONO WA EID AL ADHA 2020 TANZANZANIA KWA FAMILIA DUNI

Jamal katibu wa taasisi ya ASHURA amesema wameamuwa kutoa Sadaka ya nyama ya Ng'ombe kwenye familia yenye kipato duni ,vituo vya watoto yatima na makundi yasiojiweza bila kujali Dini,kabira wala ranging ya mtu .Lengo makundi haya yafurahie na kusherekea sikukuu yaEID AL ADHA amesema haya kwenye machinjio ya Tegeta jijini DSM

Habari picha na Ally Thabiti