Dr Edwini Muhede Mwenyekiti wa Bodi ya NMB amewataka vijana wa kitanzania watakao pata fursa ya kusaidiwa na Asasi ya NMB kwenye Sekta ya Elimu watumie vizuri . Pia amezitaka Asasi zingine kushirikiana na Asasi ya NMB.
Habari na Ally Thabiti

Mkuu wa Mkoa wa Dsm Hamosi Makala ameipongeza Bank ya NMB Kwa kuanzisha Asasi Yao kwani itawezesha Kwa kiasi kikubwa kutakuwa changamoto za watanzania. Kwenye Sekta ya Afya,Mazingira, Elimu, Kilimo, na Ujasilia Mali.
Hamosi Makala ameiomba NMB kusaidia ujenzi wa shule kwenye Mkoa wa Dsm.
Habari na Ally Thabit
Afisa Mtendaji Mkuu wa Bank ya NMB Lusi Zaipuna amesema Lengo la kuzinduwa Asasi ya NMB kuweza kusaidia Sekta ya Afya,Mazingira,Elimu,Kilimo na Ujasilia Mali.
Lusi Zaipuna amesema NMB ina mawakala elfu kumi ,10000. Ivyo amewataka watu kuiamini Bank ya NMB na waitumie.
Habari na Ally Thabit
Habari picha na Ally Thabiti
Lakini zimejadiliwa na kufanyiwa kazi.
Habari picha na Victoria Stanslaus