Friday, 3 September 2021

KAMPUNI YA WLC YAJA NA MIKAKATI KABAMBE

Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa Kampuni ya  World Logistics Company Limited (WLC) Agnes Daniel amewataka watu kutumia Kampuni Yao katika kusafirisha bidhaa zao .

Kwani gharama zao ni nafuu wameanza kazi  hizi mwaka elfumbili na nne 2004 Chino ya mwanzilishi Regnold George .ambako wanatumia Nyenzo ya Google Excel Spreadsheet.

Agnes Daniel Mkuu wa Kitengo cha Masoko amesema japo kunachangamoto ya KORONA 19 richa ya Kuenea Kwa ugonjwa wa KORONA wanaendelea kusafirisha mizigo nchi za  China,Uingereza,Japan, Afrika Kusini,Falme za Kiarabu,India,Malaysia na nchi zinginezo. 

Lengo la kuendelea na Usafirishaji Kwa gharama nafuu ni kumuunga mkono raisi  Samia Suluhu Hassan, katika kukuza Uchumi wa tanzania.

Habari na Victoria Stanslaus

No comments:

Post a Comment