Emmanuel Bugabu Business Development Manager amesema Kampuni Yao imejipanga katika kutoa huduma kwenye mradi wa Bomba la Mafuta linalojengwa mkoani Tanga eneo la Chongoleani mpaka nchi ya Uganda.
Kwani wanaishukuru serikali ya Tanzania Kwa kukubali huu mradi ambako utasaidia watanzania wengi kupata pesa . Emmanuel Bugabu amewataka watanzania kuchangamkia fursa .
Kampuni Yao inaofisi dear es salaam,Mwanza ,Arusha na Zanzibar .
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment