Makamu Mwenyekiti wa Viwanda Mkoa WA Geita Judithi Karangi ambae anamwakilisha Mwenyekiti wa Mkoa Geita TCCIA .amesema kutokana na mradi wa bomba la mafuta wameweza kujipanga vyema ili waweze kupata fursa mbalimbali za kibiashara.
Judithi Karangi amewataka wakazi wa Mkoa wa Geita kuweza kujiunga na TCCIA kwani moja ya faida watakazo zipata kutafutiwa Masoko,utatuwa changamoto za kikodi na tozo . Amesema haya jijini Dsm.
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment