Wednesday, 8 September 2021

KAIMU MKURUGENZI WA SERA NA MIPANGO MBARAKA SEMBURI ABAINISHA MIKAKATI MIZITO

Mbaraka Semburi Kaimu Mkurugenzi wa Sera na Mipango amesema katika kuimarisha Sekta ya mifugo wanaakikisha kuwepo na marisho yalio Bora ,matumizi ya mifumo ya kiteknolojia ,kuwepo na tafiti za kutakuwa changamoto zinazowakabiri wafugaji na mifugo Yao.

Tozo ambazo zilikuwa ni kikwazo Kwa wafugaji serikali emeziondoa . Pia Mbaraka Semburi amesema serikali imeweka mikakati ya kupatikana tilioni 5 kwaajili ya kuendeleza mifugo.

Swala la kuwepo Kwa ardhi kwaajili ya kutengeneza malisho serikali imezingatia ametoa wito kwa watanzania kuwekeza katika Uwekezaji kwani maafisa Hugani wapo wa  kutosha  Mazingira na miundombinu ni rafiki.

Amesema haya kwenye mkutano wa wadau wa Mifugo

Habari picha na Ally Thabiti
 

No comments:

Post a Comment