Wednesday, 8 September 2021

JULIAS TWENESHE KUTOKA OFISI YA WAZIRI MKUU AJA NA MIHAROBAINI KWA VIJANA


 Afisa Maendeleo Mkuu wa Vijana Kutoka OFISI ya Waziri Mkuu Julias Tweneshe amesema kuwepo Kwa rasimu ya Sera ya vijana yataleta mafanikio makubwa Kwa vijana .

Ivyo amewataka vijana kujadili na kutoa mawazo Yao namna ya kuleta majawabu yatakayowakwamuwa vijana kiuchumi, Julias Tweneshe amesema michango ya kimawazo yaliotolewa na watu wenye Ulemavu kwenye rasimu hii yatafanyiwa Kazina kutekelezwa Kwa vitendo. 

Amesema haya kwenye mkutano wa kujadili rasimu ya Sera ya vijana.

Habari picha na Ally Thabiti

No comments:

Post a Comment