Nasorro Suleiman Nasorro awatoa Ofu na mashaka Wananchi wa Chatembo kata ya Mwandege Wilaya ya Mkuranga Mkoa wa Pwani. Ameahidi kuwa ataakikisha Soko la kitongoji cha Chatembo linakamilika .
Na atawaunganisha na fursa mbalimbali ivyo Diwani Nasorro Suleiman Nasorro ameitaka Uongozi wa kitongoji cha Chatembo na Viongozi wa kikunsi za Mwangaza wampe ushirikiano .
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment