Saturday, 11 September 2021

UONGOZI WA SOKO LA CHATEMBO WAKIKABIDHO CHANGAMOTO KWA MAANDISHI


 Kama Inavyoonekana Pichani Msoma Lisara na kiongozi wa Soko la kitongoji cha Chatembo akimkabidhi Diwani wa kata ya Mwandege Nasoro Suleiman Nasorro changamoto zilizopo kwenye Soko lao la Chatembo. 

Lengo Diwani na Viongozi wenzake waweze kuzitatuwa . Mfano changamoto ya mitaji,kuboleshwa Kwa Soko,upatikanaji wa wajasiliamali ndani ya Soko na zinginezo.

Kwaupande wake Diwani wa kata ya Mwandege Kama Inavyoonekana Pichani akipokea Lisara uku akiaidi kuzifanyia kazi  changamoto zote zilizopo Soko la kitongoji cha Chatembo.

Habari picha na Ally Thabiti


No comments:

Post a Comment