Mkurugenzi Mtendaji wa NARKO Peter Msofe amewataka wafugaji kuchangamkia fursa kuwekeza kwaajili ya kulishia mifugo Yao kwenye ranji za NARKO , Pia amewataka vijana wa kitanzania waweze kufika NARKO kwani watapata Ajira
Ambako NARKO Wana ranji 14 kwenye Mikoa 9 na karibuni watafunguwa ranji moja mkoani Kagera amesema haya kwenye mkutano wa wadau wa Mifugo jijini Dsm.
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment