Shinuna Saidi ni Mwandishi wa habari wa TBC ameipongeza Mfuko wa Mawasiliano Sawa Kwa wote Kwa kutoa elimu na kuongeza uelewa Kwa wadau wake . Ambako Shinuna Saidi ameweza kufaam Mfuko wa Mawasiliano Sawa Kwa wotekazi zake na Malengo yake.
Ametoa wito kwa Viongozi wa Mfuko wa Mawasiliano Sawa Kwa wote watumie Wanahabari katika kuitangaza Mfuko huu, pia watoe elimu zaidi Vijijini pamoja na mijini .
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment