Tuesday, 21 September 2021

JOYCE SAIDY MBUNIFU MAJENGO AIPONGENZA TAWA


 Mbunifu wa Majengo Joyce Saidy amesema anaipongeza Uongozi wa TAWA Kwa kuweza kumjengea uwezo . Pia anaishukuru Kampuni ya Tanga Ciment kwakuweza kujitoa Kwa moyo mmoja katika Mafunzo walioyapata .

Amesema Mafunzo haya na Ujuzi aliopewa atayatumia vizuri Kwa wengine . Kwaupande wake Mwenyekiti wa Bodi ya TAWA Wini Teli amesema wataendelea Kuwajenga uwezo Wanafunzi wa kike waliopo kwenye Vyuo wanaosomea maswala ya Ukandarasi ili wawe wafanisi kwenye Kazi  zao .

Nae Meneja Miradi wa Mafunzo haya Dr Vicky Malwa amesema walikuwa Wanafunzi wakike74 waliokuwawanawajengea uwezo kutokana na changamoto mbalimbali Wasichana 33 waliacha Mafunzo na hatimae 41 Wamehitimu ..

Ameahidi wataendelea na Mafunzo na kuongeza idadi ya wafunzi wasichana  uku akiwasilisha maombi ya kusaidiwa kwenye upande WA utafiti ,ushirikiano ,kupew kumbi za mikutano Kwa mgeni rasimi wa Chuo Kikuu cha Mlimani Naibu wa Chuo cha Mlimani Prof  Benadeta .

Na amewaomba Tanga Ciment waendelee kufadhili mradi huu  .huku Mwakilishi wa Tanga Ciment ameitaka jamii na wafadhili wengine wajitokeze kufadhili mradi huu. Lakini Tanga Ciment wamemtoa Ofu na mashaka Dr Vicky Malwa wataendelea kushirikiana nae .

Habari picha na Ally Thabiti

No comments:

Post a Comment