Meneja Masoko wa Kampuni ya K4S Security Biko Skanda amesema wameamuwa kuifadhiri Timu ya Afrika Sports Kutoka mkoani Tanga mikataba WA mwaka mmoja . Pia Biko Skanda amewataka watu kutumia Kampuni Yao katika maswala ya Ulinzi.
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment