Mkuu wa Wilaya ya Temeke Joketi Mwengelo amewataka vijana wa kitanzania kujitokeza Kwa wingi katika kuwekeza kwenye misitu yetu. Pia Amewapongeza na kuwashukuru TFS Kwa kuwavutia wawekezaji kwaajili ya kuwekeza kwenye misitu yetu ili Utalii wa ndani ukue Kama anavyoonekana kwenye picha ya pamoja .
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment