Monday, 20 September 2021

MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA KUKUTANA NA WADAU WA SIASA


 Haji Frances Mutungi Amesema wameamuwa kukutana na wadau wa VYAMA VYA SIASA pamoja na Jeshi la Polisi tarehe 30 mwezi wa 10 Lengo kuondoa sitofaam na kujenga Mazingira rafiki Kwa wanasiasa DHIDI ya Jeshi la Polisi .

Msajili wa Vyama vya Siasa amesema yeye anatekeleza kanuni ya 24 kwani wadau wa VYAMA vya siasa wakikutana na Jeshi la Polisi  wakiwemo Viongozi wa Vyama vya siasa hii itasaidia kuwepo na muafaka na maridhoano ya pamoja .

Ametoa wito kwa Wanahabari kutopotosha jamii  amesema haya jijini Dsm alipokutana na Wanahabari .

Habari na Ally Thabiti

No comments:

Post a Comment