Shee Haruna Habdalla Shee wa Mkoa wa Kagera amewataka watu kujitokeza Kwa wingi kuchangia Fedha na Mali katika kuelekea siku ya Mauridi ambako kitaifa tarehe 18 na 19 mwezi wa 10 2021 mkoani Kagera ambako kiasi cha milioni Mia tatu hamsini na tano Fedha zinazoitajika kwaajili ya shuuri hii.
Ivyo watu wachangie kupitia banki ya CRDB 015522627900 na Mawasiliano 0784644220 mwenyekiti wa kamati. 0713350110 mratibu wa kamati .0714 270559 katibu wa kamati.
Ametoa wito kwa wamiriki wa mabasi na wafanya biashara mbalimbali wajitokeze kutoa michango Yao ambako mgeni rasimi Rai's wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment