Thursday, 9 September 2021

DEUSI NYABIRI AISHAURI TCCIA MAMBO MAZURI

  • Mwenyekiti wa TCCIA Mkoa wa Dodoma Deusi Nyabiri amesema ni vyema wanachama wa TCCIA kukubali kujiunga na TLS kwaajili ya kutatuwa migogoro itakayokotokana na ukiukwaji wa mikataba ya kibiashara na makampuni au watu binausi.
Ambako itasaidia kuwepo Kwa maahauriano ya kisheria kupitia TLS .ambako faida kubwa ni kupunguwa Kwa gharama Kwa kutumia Kampuni ya ndani.

Amesema haya kwenye mkutano wa TCCIA .

Habari picha na Ally Thabiti
 

No comments:

Post a Comment