Miriam Mkanza Mwanafunzi wa Chuo cha DIT amesema serikali kwenye Sera ya vijana kuwepo na namna ya kuwapa elimu ya Ujasilia Mali vijana , kuajiri vijana kwenye Sekta mbalimbali ,kuwapatia vijana mitaji ya kutosha bila riba kubwa ,Kuwajenga uwezo vijana waweze kujiajili .
Ambako itasaidia kujikwamuwa kiuchumi na kuondokana na umasikini Kwa vijana na kuwaondolea vikwazo vijana kwaupande wa Kodi katika biashara zao.
Miriam Mkanza Mwanafunzi wa Chuo cha DIT anaamini kuwa mabadiliko ya Sera ya vijana yataleta chachu kubwa na mapinduzi Kwa vijana katika kupiga atua kubwa za Maisha na Maendeleo ya Uchumi . Amesema haya jijini Dsm katika maboresho ya Sera ya vijana.
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment