Ismaili Mfanya biashara ameipongeza serikali Kwa kutoa semina kutokana na mradi wa bomba la mafuta kwani mijadara Kama hii itasaidia wazawa kupata fursa za kujikwamuwa kiuchumi .
Ametoa wito kwa serikali wawe wanafanya makongamano na semina za namna hii mara Kwa mara .
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment