Friday, 10 September 2021

AFISA WA TCCIA MKOA WA SONGWE AWATAKA WANA SONGWE KUCHANGAMKIA FURSA


 Elijah M. Simbeye ni Afisa Mtendaji wa TCCIA Mkoa wa Songwe amesema wafanya biashara Mkoa wa Songwe wajiunge na TCCIA kwani watapata mafanikio makubwa  .

Pia amesema Mafunzo alioyapata atayatumia vizuri katika Mkoa wake kwani ana mda mchache kwenye Uongozi lakini ameweza kutatuwa changamoto zilizokuwa zinawakabili wafanya biashara wa Mkoa wa Songwe.

Huku wakijiandaa wanatccia Mkoa wa Songwe kushiriki kwenye miradi midogo na mikubwa. Amesema haya jijini Dsm.

Habari picha na Ally Thabiti

No comments:

Post a Comment