Majaliwa Kasim Majaliwa Waziri Mkuu wa Tanzania amesema anawapongeza NMB Bank Kwa kuanzisha Asasi ya kiraia kwani wataisaidia serikali Kwa kiasi kikubwa katika Sekta ya Afya,Kilimo,Mazingira, Elimu na Ujasilia Mali .
Ambako uzalishaji kwenye Sekta ya Kilimo utakuwa mkubwa hivyo anawataka watu wote watakaopata fursa Kutoka kwenye Asasi ya kiraia ya NMB Bank waitumie vizuri . Kama anavyoonekana kwenye picha ameambatana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Bank ya NMB Lusi Zaipuna wakizinduwa Asasi ya kiraia ya NMB.
Habari picha na Ally Thabiti
No comments:
Post a Comment